Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 36:27-33

Ayubu 36:27-33 NEN

“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari. Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi. Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, na kuuagiza kulenga shabaha yake. Ngurumo zake hutangaza dhoruba inayokuja; hata mifugo hujulisha kukaribia kwake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 36:27-33

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha