Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:51

Yohana 6:51 NEN

Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:51

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha