Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 5:39-40

Yohana 5:39-40 NEN

Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 5:39-40

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha