Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 5:10-11

Yohana 5:10-11 NEN

Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali wewe kubeba mkeka wako.” Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’  ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 5:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha