Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 4:28-30

Yohana 4:28-30 NEN

Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu, “Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?” Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 4:28-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha