Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 20:27-28

Yohana 20:27-28 NEN

Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.” Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 20:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha