Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 19:26-27

Yohana 19:26-27 NENO

Yesu alipomwona mama yake mahali pale, na yule mwanafunzi aliyempenda akiwa amesimama karibu, Yesu akamwambia mama yake, “Mama, huyu hapa ndiye mwanao.” Kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Nawe huyu hapa ndiye mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Yesu nyumbani mwake.