Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 12:44-45

Yohana 12:44-45 NEN

Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma. Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 12:44-45

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha