Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:12-13

Yeremia 5:12-13 NEN

Wamedanganya kuhusu BWANA. Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! Hakuna dhara litakalotupata; kamwe hatutaona upanga wala njaa. Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao, kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 5:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha