Yeremia 28:15-16
Yeremia 28:15-16 NENO
Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! BWANA hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo. Kwa hiyo, hili ndilo asemalo BWANA: ‘Hivi karibuni nitakuondoa duniani. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya BWANA.’ ”