Yeremia 23:16
Yeremia 23:16 NENO
Hili ndilo asemalo BWANA wa majeshi: “Msisikilize wanachowatabiria manabii, wanawajaza matumaini ya uongo. Wanasema maono kutoka akili zao wenyewe, hayatoki katika kinywa cha BWANA.