Yeremia 21:8-9
Yeremia 21:8-9 NENO
“Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti. Yeyote atakayekaa katika mji huu atakufa kwa upanga, njaa au tauni. Lakini yeyote atakayeenda na kujisalimisha kwa Wakaldayo, ambao wameuzingira mji huu kwa jeshi, atanusurika, naye ataishi.