Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 15:19

Yeremia 15:19 NENO

Kwa hiyo hili ndilo asemalo BWANA: “Ukitubu, nitakurejesha ili uweze kunitumikia; ukinena maneno yenye maana, wala si ya upuzi, utakuwa mnenaji wangu. Watu hawa ndio watakaokugeukia, wala si wewe utakayewageukia wao.