Yeremia 12:1
Yeremia 12:1 NENO
Wewe daima u mwenye haki, Ee BWANA, niletapo mashtaka mbele yako. Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? Kwa nini wasio waaminifu wote wanaishi salama?