Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 6:11

Waamuzi 6:11 NENO

Malaika wa BWANA akaja akaketi chini ya mwaloni ulio Ofra, ambao ulikuwa mali ya Yoashi Mwabiezeri, pale Gideoni mwanawe alikuwa akipepeta ngano penye shinikizo la kukamulia zabibu, ili kuificha Wamidiani wasiione.