Waamuzi 16:28
Waamuzi 16:28 NENO
Ndipo Samsoni akamwomba BWANA, akasema, “Ee BWANA Mwenyezi, unikumbuke. Ee Mungu, nakusihi ukanitie nguvu mara hii moja tu, ili kwa tendo hili nipate kulipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa sababu ya macho yangu mawili.”