Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:17-18

Isaya 40:17-18 NEN

Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, yanaonekana yasio na thamani na zaidi ya bure kabisa. Basi, utamlinganisha Mungu na nani? Utamlinganisha na kitu gani?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha