Isaya 37:16
Isaya 37:16 NENO
“Ee BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, unayeketi kwenye kiti cha enzi kati ya makerubi, wewe peke yako ndiwe Mungu juu ya falme zote za dunia. Wewe umeumba mbingu na nchi.