Isaya 25:6
Isaya 25:6 NEN
Juu ya mlima huu BWANA wa majeshi ataandaa karamu ya vinono kwa mataifa yote, karamu ya mvinyo wa zamani, nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana.