Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 23:18

Isaya 23:18 NEN

Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa BWANA; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitaenda kwa wale wanaoishi mbele za BWANA kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri.