Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 19:20

Isaya 19:20 NENO

Itakuwa alama na ushahidi kwa ajili ya BWANA wa majeshi katika nchi ya Misri. Watakapomlilia BWANA kwa sababu ya watesi wao, Mungu atawapelekea mwokozi na mtetezi, naye atawaokoa.