Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezra 5:9-10

Ezra 5:9-10 NEN

Tuliwauliza viongozi, “Ni nani aliyewapa ruhusa kujenga upya Hekalu hili na kurejeza hali ya jengo kama lilivyokuwa?” Pia tuliwauliza majina yao, ili tukuandikie kukujulisha majina ya viongozi wao.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha