Ezekieli 38:2-3
Ezekieli 38:2-3 NENO
“Mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya Gogu, katika nchi ya Magogu, mtawala mkuu wa Mesheki na Tubali; tabiri dhidi yake na useme: ‘Hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: Ee Gogu, mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.