Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 10:12-13

Ezekieli 10:12-13 NEN

Miili yao yote, pamoja na migongo yao, mikono na mabawa yao yote yalikuwa yamejaa macho kabisa kama yalivyokuwa yale magurudumu yao manne. Nikasikia magurudumu yakiitwa, “Magurudumu ya kisulisuli.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 10:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha