Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 7:5-7

Kutoka 7:5-7 NEN

Nao Wamisri watajua kuwa Mimi ndimi BWANA nitakapounyoosha mkono wangu dhidi ya Misri na kuwatoa Waisraeli watoke humo.” Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile BWANA alivyowaagiza. Mose alikuwa na umri wa miaka themanini na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu walipozungumza na Farao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 7:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha