Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 5:1

Kutoka 5:1 NEN

Baadaye Musa na Haruni wakaenda kwa Farao, wakamwambia, “Hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa Israeli: ‘Waruhusu watu wangu waende, ili waweze kunifanyia sikukuu huko jangwani.’ ”

Video ya Kutoka 5:1