Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 23:20-21

Kutoka 23:20-21 NEN

“Tazama, ninamtuma malaika akutangulie mbele yako akulinde njiani na kukuleta mpaka mahali nilipoandaa. Mtamtii na kusikiliza kile anachokisema. Usiasi dhidi yake; hatakusamehe uasi wako, kwa maana Jina langu limo ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 23:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha