Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 21:23-25

Kutoka 21:23-25 NENO

Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, mchubuko kwa mchubuko.