Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 28:9-10

Kumbukumbu 28:9-10 NEN

BWANA atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya BWANA Mungu wako na kwenda katika njia zake. Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la BWANA, nao watakuogopa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 28:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha