Kumbukumbu 26:18
Kumbukumbu 26:18 NENO
Naye BWANA ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya pekee kama alivyoahidi, ili mpate kuyashika maagizo yake yote.