Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 5:14

Amosi 5:14 NENO

Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo BWANA Mungu wa majeshi atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.