Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:11-12

Matendo 10:11-12 NEN

Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne. Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 10:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha