Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 24:25

2 Samweli 24:25 NENO

Kisha Daudi akamjengea BWANA madhabahu mahali hapo, na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Kisha BWANA akajibu kwa ajili ya nchi, nayo tauni ikakoma katika Israeli.