Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 23:3-4

2 Samweli 23:3-4 NENO

Mungu wa Israeli alinena, mwamba wa Israeli akaniambia: ‘Mtu anatawala watu kwa haki, wakati anapotawala akiwa na hofu ya Mungu, yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua unaochipuza majani kutoka ardhini.’