2 Samweli 14:14
2 Samweli 14:14 NENO
Kama vile maji yaliyomwagika ardhini hayawezi kuzoleka, hivyo sisi kufa ni lazima. Lakini hivyo sivyo Mungu anataka; bali hupanga njia ili mtu aliyefukuzwa asibaki akiwa ametengwa naye.