Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 2:8-10

1 Timotheo 2:8-10 NEN

Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana. Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa, bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha