Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 3:7-8

1 Wathesalonike 3:7-8 NEN

Kwa hiyo, ndugu zetu, katika dhiki na mateso yetu yote tumefarijika kwa sababu ya imani yenu. Sasa kwa kuwa hakika tunaishi, kwa kuwa ninyi mmesimama imara katika Bwana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 3:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha