Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 28:5-6

1 Samweli 28:5-6 NENO

Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu. Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa BWANA, lakini BWANA hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kupitia manabii.