Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 8:44-45

1 Wafalme 8:44-45 NENO

“Watu wako watakapoenda vitani dhidi ya adui zao, popote utakapowapeleka, wakati watakapoomba kwa BWANA kuelekea mji ambao umeuchagua, na Hekalu nililolijenga kwa ajili ya Jina lako, basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, ukawape haki yao.