Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 18:44

1 Wafalme 18:44 NENO

Mara ya saba, mtumishi akaleta taarifa, “Wingu dogo kama mkono wa mwanadamu linainuka kutoka baharini.” Hivyo Eliya akasema, “Nenda ukamwambie Ahabu, ‘Tandika gari lako la vita, ushuke kabla mvua haijakuzuia.’ ”