1 Wafalme 10:1
1 Wafalme 10:1 NENO
Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Sulemani na uhusiano wake na jina la BWANA, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.