Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 2:4-5

1 Wakorintho 2:4-5 NENO

Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa kwa hekima na maneno ya ushawishi, bali kwa madhihirisho ya nguvu za Roho, ili imani yenu isiwe imejengwa katika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu.