Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 12:16-17

1 Wakorintho 12:16-17 NEN

Na kama sikio lingesema, “Kwa kuwa mimi si jicho, basi mimi si wa mwili,” hiyo isingefanya hilo sikio lisiwe sehemu ya mwili. Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 12:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha