After assembling all the chief priests and experts in the law, he asked them where the Christ was to be born.
Soma Matthew 2
Shirikisha
Linganisha Matoleo Yote: Matthew 2:4
Siku 5
Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
30 Siku
Fanya upya akili yako kwa mambo muhimu kutoka The Global Gospel(Injili ya kimataifa), mfululizo wa maisha na mafundisho ya Yesu. Kila siku ya mpango huu inajumuisha video fupi inayotumia vielelezo vya rangi na usomaji wa Biblia wenye mvuto na uigizaji.
Siku 31
Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
Soma Biblia Kila Siku 01/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Kutoka, Zaburi na Isaya. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Anza mwaka wa 2020 kwa kujifunza Neno la Mungu kupitia mpango huu.
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!