1
Yoshua 5:15
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
NENO
Jemadari wa jeshi la Mwenyezi Mungu akajibu, “Vua viatu vyako, kwa maana mahali uliposimama ni patakatifu.” Naye Yoshua akafanya hivyo.
Linganisha
Chunguza Yoshua 5:15
2
Yoshua 5:14
Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la Mwenyezi Mungu.” Yoshua akasujudu, uso wake ukigusa chini, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?”
Chunguza Yoshua 5:14
3
Yoshua 5:13
Basi Yoshua alipokuwa karibu na Yeriko, akainua macho, akaona mtu aliyesimama mbele yake, akiwa na upanga mkononi. Yoshua akamwendea na kumuuliza, “Je, wewe uko upande wetu au upande wa adui zetu?”
Chunguza Yoshua 5:13
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video