1
Sefania 3:17
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Bwana Mungu wako yuko katikati yako, naye ni Mungu ajuaye kuokoa. Atakufurahia na kukufurahisha, atatulia kwa kukupenda, atakushangilia na kukuimbia.
Linganisha
Chunguza Sefania 3:17
2
Sefania 3:20
Siku hizo ndipo, nitakapowapeleka kwenu ni siku hizo, nitakapokwisha kuwakusanya, kwani nitawapatia ninyi jina kuu, mtukuzwe kwa makabila yote ya nchi hii, nitakapoyafungua mafungo yenu machoni pao. Bwana ndiye anayeyasema!
Chunguza Sefania 3:20
3
Sefania 3:15
Bwana ameyatangua mashauri, uliyokatiwa, akamwondoa adui yako! Mfalme wa Isiraeli ni Bwana alioko katikati yako, hutaogopa mabaya tena.
Chunguza Sefania 3:15
4
Sefania 3:19
Mtaniona, siku hizo nikiwapatia mambo wote wanaokutesa, niwaokoe wachechemeao, niwakusanye nao waliofukuzwa, watukuzwe, nikiwapatia jina kuu katika hizo nchi zote, walikotiwa soni.
Chunguza Sefania 3:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video