1
Matendo ya Mitume 7:59-60
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
kisha nao wakampiga Stefano mawe, yeye akiomba na kusema: Bwana Yesu, ipokee roho yangu! Kisha akapiga magoti, akaita kwa sauti kuu: Bwana, usiwawekee kosa hili! Alipokwisha kuyasema haya akalala.
Linganisha
Chunguza Matendo ya Mitume 7:59-60
2
Matendo ya Mitume 7:49
Mbingu ni kiti changu cha kifalme, nayo nchi ni pa kuiwekea miguu yangu. kwa hiyo Bwana anasema: Ni nyumba gani, mtakayonijengea? Au mahali pa kupumzikia mimi ni mahali gani?
Chunguza Matendo ya Mitume 7:49
3
Matendo ya Mitume 7:57-58
Ndipo, walipopiga kelele na kupaza sauti na kujiziba masikio, wakamrukia wote pamoja, wakamkumba, atoke mjini, wakampiga mawe. Kulikuwako mashahidi, nao wakazivua nguo zao, wakaziweka miguuni pa kijana, jina lake Sauli
Chunguza Matendo ya Mitume 7:57-58
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video