1
Ruthu 1:16
BIBLIA KISWAHILI
RSUVDC
Naye Ruthu akasema, Usinisihi nikuache, Nirudi nisifuatane nawe; Maana wewe uendako nitakwenda, Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu
Linganisha
Chunguza Ruthu 1:16
2
Ruthu 1:17
Pale utakapofia ndipo nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; BWANA anitende vivyo hivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.
Chunguza Ruthu 1:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video