1
Hosea 2:19-20
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Nitakufanya mke wangu milele; uwe wangu kwa uaminifu na haki, kwa fadhili na huruma. Naam, nitakuposa kwa uaminifu, nawe utanijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Linganisha
Chunguza Hosea 2:19-20
2
Hosea 2:15
Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu, bonde la Akori nitalifanya lango la tumaini. Atanifuata kwa hiari kama alipokuwa kijana, kama wakati alipotoka katika nchi ya Misri.
Chunguza Hosea 2:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video