1
Mhubiri 10:10
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Nguvu nyingi zaidi zahitajika kwa mtumiaji shoka butu lisilonolewa, lakini kutumia hekima humfanya mtu afanikiwe.
Linganisha
Chunguza Mhubiri 10:10
2
Mhubiri 10:4
Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu.
Chunguza Mhubiri 10:4
3
Mhubiri 10:1
Nzi waliokufa husababisha marashi kunuka; upumbavu kidogo hubatilisha hekima na heshima.
Chunguza Mhubiri 10:1
4
Mhubiri 10:12
Maneno ya mwenye hekima humnufaisha asemaye; lakini midomo ya mpumbavu humwangamiza.
Chunguza Mhubiri 10:12
5
Mhubiri 10:8
Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka.
Chunguza Mhubiri 10:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video